Timu ya Manchester United ilipokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao Brighton,mechi ya ligi kuu uingereza iliyochezwa majira ya saa 4 jana usiku. Goli lililofungwa na Pascal Gross katika dakika ya 57,Na Man United wamesalia na pointi zao 77 huku wakiwa mamecheza michezo 36.
Tazama Msimamo.
Tags:
Michezo