Polisi Aliyemkodi Mwenzake ili Amtie Mimba Mkewe,Amfikisha Mahakamani kwa Kushindwa Kumtia Mkewe Mimba.


Dar-es-Salaam,
Mahakama ya Tanzania lazima iamue juu ya madhumuni ya kiheshima katika kesi ambapo mtu alimuajiri/alimkodi jirani yake ili kumpa mke wake ujauzito.

Inaonekana kwamba Darius Makambako 50 na mke wake Precious 45,walitaka kuwa na mtoto,lakini daktari aliwaambia wanandoa hao kuwa mwanaume hana kizazi.Hakukuwa na shaka,lakini wanandoa hao walikuwa wamechoka kuwa katika ndoa ya miaka 23 bila watoto.

Hivyo Makambako,mwanachama wa Jeshi la Polisi la Tanzania (Idara ya Traffic),baada ya kuona hivo,aliajiri jirani yake Evans Mastano, mwenye umri wa miaka 52,polisi mwenzake katika jiji la kibiashara la Dar-es-Salaam ili ampe mkewe ujauzito.

Kwa kuwa Evans alikuwa tayari kaoa na ni baba wa binti wawili,alikubali mpango huo.

Makambako alimlipa Mastano Shillingi 2,000,000  za kitanzania kwa ajili ya kazi hiyo.Na kwa jioni tatu kwa wiki,kwa miezi 10 ijayo mwaka 2016.

Evans alijaribu sana,jumla ya mara 77 kuhakikisha anampa ujauzito mke wa rafiki yake Precious,lakini alishindwa.

Ripoti zinasema Precious,muuguzi katika kliniki ya kibinafsi aliamua kuomba likizo ya miezi mitatu(Machi hadi Juni 2016) ili kupata muda mzuri wa kulala na rafiki/jirani wa mume wake,pengine nae ajipatie mtoto wa kwanza,lakini ilishindikana licha ya kuachwa kitandani muda wote.

Precious aliposhindwa kushika mimba kwa muda wa miezi 10,Makambako hakuelewa shida ni nini na aliamua kwenda kufanyiwa vipimo wa kiafya na alifanya hivo mwezi Januari 2017.

Majibu ya daktari ni kwamba Evans Mastano pia alikuwa hana kizazi na wale watoto wawili wakike sio wake.Hakuwa baba halisi wa watoto wake,bali walikuwa wa binamu yake,Edward.

"Nililazimika kulala kwa siri na Edward,binamu yake wa kwanza kuwa na watoto hawa wawili baada ya kutambua kwamba mume wangu hakuweza kunipatia miaka miwili", Angela mke wa Mastano aliiambia Dar-es-Salaam Today News.

Sasa Makamboko anataka mkataba uvunjwe na Evans amrudishie fedha zake,lakini Evans anakataa  kwa sababu alisema hakudhamini mimba,lakini tu kwamba atatoa jitihada za uaminifu.

Post a Comment

Previous Post Next Post