Mwasiti asimulia alivyoporwa na vibaka kwenye foleni Ubungo Udaku 11:50 PM Muimbaji Mwasiti amethibitisha kuporwa na kibaka kwenye foleni alipokuwa mataa ya Ubungo DSM, ambapo amesema ni kweli ameibiwa kibegi ambacho kilikuwa na baadhi ya vitu vyake. Msikilize hapa Mwasiti akielezeaBonyeza PLAY hapa chini.
0 $type={blogger}: