Baada ya mchezo wa leo wa Kariakoo Derby Simba inajichimbia kileleni kwa kufikisha pointi 62 baada ya michezo 26. Yanga wapo katika nafasi ya 3 wakiwa na pointi 48 lakini wanamichezo miwili mkononi (viporo). Sasa Simba inahitaji pointi 5 kutawazwa mabingwa wa VPL 2017/18.
Huu hapa Msimao wa ligi,Simba inahitaji pointi tano tu kuwa bingwa.
bySiraj Kingi
•
0