BUJUMBURA, BURUNDI: Timu vijana wa Tanzania chini ya miaka 17(Serengeti Boys) wametwaa taji la CECAFA la chini ya miaka 17 kwa mwaka 2018 baada kuifunga Somalia goli 2-0
-
Katika michuano hiyo Uganda imemaliza ikiwa nafasi ya tatu na Kenya nafasi ya nne
.
Je, mpenzi wa soka la Tanzania unadhani huu unaweza kuwa mwanzo mzuri kwa soka letu kufika mbali katika michuano tofauti kwa siku za usoni endapo tutawekeza kwa vijana hawa?.
Tags:
Michezo