Diwani na Msanii Baba Levo Apandishwa Kizimbani Kwa Kutoa Kichapo Kwa Muuguzi.


Msanii wa Bongo Fleva Levocatus Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo ambaye ni Diwani wa Kata ya Mwanaga Kaskazini katika Manispaa ya Kigoma Ujiji amepandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Wilaya mkoani Kigoma kwa tuhuma za kumpiga muuguzi wa zahanati ya Msufini.

Post a Comment

Previous Post Next Post