Jenifa Mgendi Apewa Dili Nono Serikalini.


Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini ambaye pia ni muigizaji nwa filamu Jenifer Mgendi, ameteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya filamu nchini.


Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sana na michezo, ambayo imetolewa rasmi May 2, mwaka huu.

Kwenye uteuzi huo wajumbe wengine watano wameteuliwa na kufanya idadi ya kuwa wajumbe sita, na imeelezwa kwamba uteuzi huo umefayika April 18 mwaka huu.

Post a Comment

Previous Post Next Post