Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania.

Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.

Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nne

Kweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawa

Diamond

Alikiba

Prof JAY

AY

LADY JAYDEE

HARMONIZE

RAYVAN

MWANA FA

RICH MAVOKO

Nandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudata

By Jerry Rebiam 

Post a Comment

Previous Post Next Post