HomeMichezo YANGA YAPOKEA KIPIGO CHA BAO 4-0 BILA KUTOKA KWA USM ALGERS. bySiraj Kingi •2:03 PM 0 #CafCC Nchini Algeria mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi #KombeLaShirikisho umemalizika, na Yanga imepoteza pointi zote tatu kwa kupokea kichapo cha mabao 4-0. Tags: Michezo Facebook Twitter