Nandy “Nimekataa Kuuza Nguo za ndani Baada ya Makampuni Mengi Kunifuata”


Mwimbaji staa wa Bongofleva Nandy ambae juzi kati alikaa kwenye headlines na ishu ya kusambaa kwa video yake ya chumbani na Billnass, ameongea kwa mara ya kwanza na AyoTV na millardayo.com kuhusu kutangaza nguo ya ndani, tazama hii video hapa chini uone kila alichosema

VIDEO:

Post a Comment

Previous Post Next Post