Nilimfumania Mwanamke Wangu na Jamaa Mwingine Kitandani,Nikamsamehe..Baada ya Mwezi Ananiambia Ana Mimba yangu.


Nilimfumania mwanamke wangu na jamaa mwingine chumbani kwetu kitandani kwetu. Nilimwacha kwa muda lakini alirudi na kuniomba msamaha tukarudiana. Ila sasa ananiambia ni mjamzito alivyoniambia tu ni mjamzito hasira zimenirudi. Sijui ni ujauzito wangu au sio. Na pia sina uhakika kama ameshaachana na yule jamaa niliyemfumania nae ama la.

Naombeni ushauri.

Post a Comment

Previous Post Next Post