Siwema wa Nay wa Mitego Afunguka "Nilikuwa na Mambo ya Kitoto na Tamaa"


MWANADADA mjasiriamali ambaye pia ni mzazi mwenza na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amekiri kuwa, kipindi cha nyuma alipoteza muda mrefu kutokana na mambo ya kitoto aliyoyafanya yaliyomfanya apotee kwenye kusaka mafanikio ya haraka. -

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Siwema ambaye kwa sasa anamiliki duka kubwa la nguo jijini Mwanza, alisema kilichomsaidia ni kwamba alikubali aliyumbishwa na utoto pamoja na masuala ya mahusiano lakini alifanya maamuzi sahihi kuyapokea makosa yake na kuyarekebisha.

Post a Comment

Previous Post Next Post